Marknadens största urval
Snabb leverans

Kwa Nini Mtoto wa Mchungaji Alikataa Kuenda Kanisani

Om Kwa Nini Mtoto wa Mchungaji Alikataa Kuenda Kanisani

Chuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei ambapo watu waliishi maisha ya kizamani. Yeye na marafiki zake walifikiri wasichana katika maeneo hayo ya mashambani walikuwa wajinga kwa sababu hawakuvaa kama wao na walisumbuka zaidi kwamba wasichana hawakufunika matiti yao. Jumamosi moja alasiri walipokuwa wakitembea, walikutana na wasichana wa mashambani na kuwauliza kwa nini hawakuvaa sidiria au blauzi. Wakati huohuo, wasichana wa jiji walijifunza kwa njia ngumu kwamba hawa wasichana wa vijijini walikuwa na akili sana, na kuwafanya watilie shaka akili zao wenyewe.

Visa mer
  • Språk:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9781088089590
  • Format:
  • Häftad
  • Sidor:
  • 32
  • Utgiven:
  • 26. januari 2023
  • Mått:
  • 216x2x216 mm.
  • Vikt:
  • 85 g.
Leveranstid: 2-4 veckor
Förväntad leverans: 5. februari 2025

Beskrivning av Kwa Nini Mtoto wa Mchungaji Alikataa Kuenda Kanisani

Chuaro alilelewa katika eneo la mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini. Kwa masomo yake ya shule ya upili, alihudhuria shule ya bweni katika kijji cha Transkei ambapo watu waliishi maisha ya kizamani. Yeye na marafiki zake walifikiri wasichana katika maeneo hayo ya mashambani walikuwa wajinga kwa sababu hawakuvaa kama wao na walisumbuka zaidi kwamba wasichana hawakufunika matiti yao. Jumamosi moja alasiri walipokuwa wakitembea, walikutana na wasichana wa mashambani na kuwauliza kwa nini hawakuvaa sidiria au blauzi. Wakati huohuo, wasichana wa jiji walijifunza kwa njia ngumu kwamba hawa wasichana wa vijijini walikuwa na akili sana, na kuwafanya watilie shaka akili zao wenyewe.

Användarnas betyg av Kwa Nini Mtoto wa Mchungaji Alikataa Kuenda Kanisani

Hitta liknande böcker
Boken Kwa Nini Mtoto wa Mchungaji Alikataa Kuenda Kanisani finns i följande kategorier:

Gör som tusentals andra bokälskare

Prenumerera på vårt nyhetsbrev för att få fantastiska erbjudanden och inspiration för din nästa läsning.