Om Ukombozi wa Wanyama
"If I have to choose the book that brought me a big change, then I would say Animal Liberation by Peter Singers." -Jane Goodall
"Singer's documentation is unrhetorical and unemotional, his arguments tight and formidable, for he bases his case on neither personal nor religious nor highly abstract philosophical principles, but on moral positions most of us already accept." -New York Times Book Review
"A most important book that will change the way many of us look at animals-and, ultimately, at ourselves." -Chicago Tribune
"This book is a must . . . not just for every animal lover but for every civilized reader." -Cleveland Amory
"Kama nisingekuwa na budi kuchagua kitabu kilichoniletea mabadiliko makubwa, basi ningesema 'Ukombozi wa Wanyama' cha Peter Singer." - Jane Goodall
"Muundo wa uwasilishaji ujumbe wa Singer si wa kimazoea na haufungwi na hisia; ujengaji wake wa hoja ni makini na wenye fikra nzito, kwani hajengi hoja zake kwenye kanuni binafsi wala zakidini wala falsafa ya hali ya juu ya kufikirika, bali katika misimamo ya kimaadili ambayo wengi wetu tayari tunaikubali." - New York Times Book Review
"Ni kitabu muhimu sana ambacho kitabadili namna wengi wetu tunav-yowachukulia wanyama-na, hatimaye, sisi wenyewe." - Chicago Tribune
"Kitabu hiki ni cha lazima...si kwa wapenda wanyama tu bali kwa kila msomaii alivestaarabika." - Cleveland Amory
Tangu chapisho la kwanza kabisa la mwaka 1975, kazi hi yenye kuleta mageuzi makubwa imewaamsha mamilioni ya watu katika kung'amua uwepo wa "uspishi"-kutokuiali kwetu kwa kimfumo dhidi va wanvama wasio binadamu-na hivyo kuchochea harakati kote ulimwenguni za kuleta mabadiliko katika mitazamo yetu kuhusu wanyama na kukomesha kabisa ukatili tunaowatendea.
Katika Ukombozi wa Wanyama, mwandishi Peter Singer anaanika uhalisia wa kutisha wa "mashamba-viwanda va kisasa" tulivonayo na hatua za upimaji bidhaa-akitungua hoja muflisi za utetezi, na kupende-keza mbadala wa kile ambacho kimekuja kuwa suala zito la kimazingira na kiiamii na vilevile la kimaadili. Huu ni wito muhimu na unaofikirisha kwa dhamiri, usawa, ustaarabu, na haki na ni andiko la msingi lenye kusha-wishi kwa waunga mkono na hata kwa watia shaka.
Visa mer